Welcome.

Karibu Katika Blog Ya Appo Power. Pia karibu katika group letu la WhatsApp APPO POWER GROUP. Daily Walk

FAIDA ZA KARANGA/NJUGU

Wengi tunajua karanga nikiburudisho au nikiungo miongoni mwa viungo jikoni mfano huwa tui katika mboga zetu tunazoziandaa.
Karanga ina faida nyingi katika mwili wa binadamu,baadhi ya faida kama zifuatazo

1 Hupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo.
         Karanga zina mafuta chanzo aina ya mono unsaturated fats
 

2 Karanga husaidia katika kinga zidi ya Kansa ya tumbo. Kwani virutubisho vya Folic Accid na Resveratrol vinavyopatikana ndani ya njugu huimarisha kinga zidi ya saratani ya tumbo.

3 Karanga husaidia kuongeza mbegu za kiume ( shahawa).

Hizi ndio baadhi ya faida nyingi za karanga/njugu.

Hakuna maoni