Welcome.

Karibu Katika Blog Ya Appo Power. Pia karibu katika group letu la WhatsApp APPO POWER GROUP. Daily Walk

TIBA YA MENO YANAYOUMA BILA KUNG'OA

JUISI YA BILINGANYA
Tengeneza juisi ya bilinganya kisha kunywa.

TANGAWIZI MBICHI NA CHUMVI
  Ikiwa jino au fizi zilizovimba na kuuma ponda tangawizi mbichi na itie chumvi kisha iweke kwa jino linalouma au fizi iliyovimba.

MAJANI MAKAVU YA MINT
  Saga na upate unga wake kisha tia chumvi na weka kwa jino linalouma.

KARAFUU YA UNGA
Weka kiasi cha unga wa karafuu kwenye jino linalouma.

MAFUTA YA KARAFUU
Chovya nyuzi za pamba kwenye mafuta na weka kwenye jino nalouma.

Maoni 2 :

  1. Habari nomba ufafanuzi zaidi Kama meno mdomo mzima yanauma unatumije tangawizi na chumvi na karafuu??

    JibuFuta
  2. Asante kwa elimu

    JibuFuta