FAIDA ZA BIBO
-Bibo hutia furaha ya moyo na mwili.
-Huondoa hasira na baridi yabisi.
-Husaidia kukata sumu kwa aliekunywa sumu hata kama mtoto kanywa mafuta yasioliwa mfano mafuta ya taa muwahi na juisi ya bibo itakata sumu hio.
-Huua wadudu wabaya tumboni.
-Husafisha manii na kuyaongeza ukinywa mara kwa mara.
-Ukakasi wa bibo huondoa ukakasi wa koo karibu na njia ya hewa kuja kwa pua.
- Husaidia kulainisha viungo na mishipa ya mwili.
-Nyama za tunda hili husaidia kusafisha vijeraha vya tumbo.
-Kupata nguvu za ajabu za kiume ukichanganya( bibo,nanaa,karoti na tangawizi mbichi kwakusaga kisha changanya na asali au sukari) .
Hakuna maoni