Welcome.

Karibu Katika Blog Ya Appo Power. Pia karibu katika group letu la WhatsApp APPO POWER GROUP. Daily Walk

CHATINE YA MTINDI NA NANAA

Vipimo
Mtindi vikombe 2
Chumvi kiasi
Pilipili mbichi 1
Nanaa ( mint leaves) msongo 1
Kitunguu saumu chembe 5

NAMNA YA KUANDAA
Chambua majani ya nanaa katika miche yake,osha kwa maji na uweke kando.Na kiasi cha majani yake kinaweza kujaza vikombe zaidi ya viwili.

Saga vitu vyote katika mashine ya kusagia na uweke katika bakuli kwa ajili ya kuliwa.

FAIDA
Unaweza kutumia kwa kulilia vyakula mbalimbali kama bagia,mishikaki,kachori,sambusa,kuku wa kuchoma navyenginevyo.

Hakuna maoni