Welcome.

Karibu Katika Blog Ya Appo Power. Pia karibu katika group letu la WhatsApp APPO POWER GROUP. Daily Walk

KOKTELI YA KUSAFISHA( CLEANSING COCKTAIL)

Vipimo
Kiazi sukari pamoja na mizizi yake(Beetroot)1.
Brookoli(Broccoli) pamoja na miche yake 1/2 msongo (Bunch).
Figili mwitu (Cellery) miche 2.
Karoti 1.
Parsley 2 misongo.
Tufaha (Apples) 2.

NAMNA YA KUANDAA

Unahitaji mashine ya kutengenezea juice inayokamua matunda na mboga.

1.Katakata vitu vyote bila ya kumenya na utie katika mshine na ukamue.
2.Mimina katika glasi tayari kuinywa.

FAIDA
Juice hii inasafisha maini,mafigo na matumbo nakuuweka mwili katika afya.

Hakuna maoni