SHARBATI YA EMBE NA MAZIWA
Vipimo
Maziwa vikombe 6
Sukari nusu kikombe
Embe nzito iliyochujwa 1
Jinsi ya kuandaa
Changanya maziwa,sukari na urojo mzito wa embe pamoja na vipande vya barafu ndani ya blenda saga had i litoe povu.
Ukipenda unaweza kutia tone moja la essence ya rose.
Mimina kwenye jagi tayari kunywewa.
FAIDA
Ukipenda unaweza kutumia rojo zito la embe lilipo kwenye kopo ( Mango Pulp).
Hakuna maoni